Leviticus 19:35-36

35 a“ ‘Usitumie vipimo vya udanganyifu unapopima urefu, kupima uzito, wala kupima wingi. 36 bTumia mizani halali, mawe ya kupimia uzito halali, efa
Efa kilikuwa kipimo cha vitu vikavu.
halali, na hini
Hini kilikuwa kipimo cha vitu vimiminika.
halali. Mimi ndimi Bwana Mwenyezi Mungu wako, ambaye alikutoa katika nchi ya Misri.

Copyright information for SwhKC